Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Maimuna Tarishi na Mwakilishi wa Masuala ya Uchumi na Biashara ya Jamhuri ya watu wa China nchini Tanzania Lin Zhiyong wametiliana saini makubaliano ya ujenzi wa Chuo cha Ufundi Stadi VETA kitakachojengwa Gera mkoani kagera
Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Maimuna Tarishi akibadilishana hati za makubaliano (MOU) na Mwakilishi wa Masuala ya Uchumi na Biashara wa Jamhuri ya watu wa China nchini Tanzania Lin Zhiyong mara baada ya kutiliana saini.