-->

DC MANYONI AWATUMBUA WATENDAJI WATATU

mkuu wa wilaya ya manyoni Geoffrey mwambe amewasimamisha watendaji wa vijiji vitatu ,chikuyu,msesembo na rungwa kwa kushindwa kutekeleza majukumu yao mwambe amewasimamisha kazi watendaji hawa kutokana na kushindwa kusimamia miradi iliyopo ndani ya vijiji na kusababisha upotevu wa mamilioni ya fedha mwambe akizungumza amesema baada ya kutembelea vijiji hivyo mwezi uuu amebaini ubadhirifu mkubwa wa fedha na rushwa huku watendaji wengine walikuwa hawajui wajibu wao akindelea mwambe amesema nimeona kuna uzembe mkubwa unafanyika haiwezekani mradi wa maji wa soliya unaoendeshwa kwa mitambo ya kutumia umeme na jenereta unazaidi ya shilingi 40 milioni kwenye akaunti halafu eti mradi wa maji wa chikuyu mitambo yake inayotumia sola una shilingi 1 milioni tu ambapo hapo kunaonesha udanganyifu mkubwa

Read also-: