WANAFUNZI 11,481 WATANGAZWA AWAMU YA PILI YA MIKOPO 2017/2018
2 min read
WANAFUNZI 11,481 WATANGAZWA AWAMU YA PILI YA MIKOPO 2017/2018Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu imetoa orodha ya awamu ya pili ya wanafunzi 11,481 wa mwaka wa kwanza waliofanikiwa kupata mikopo. Orodha hiyo ya wanafunzi ya awamu ya pili inapatikana hapa kwenye tovuti hii na itatumwa kwa vyuo husika. Vilevile, tunawafahamisha wanafunzi wanaoendelea na masomo na umma kwa ujumla kuwa tunaendelea kutuma vyuoni majina na fedha za mikopo ya wanafunzi wanaoendelea na masomo ambao wamefaulu mitihani yao. Bofya HAPA