-->

NIT yapanda hadhi na kuwa chuo kikuu(NUT)

Kwasasa Chuo cha Taifa cha usafirishaji(NIT) kimepanda hadhi na kuwa CHUO KIKUU, au university na sasa kitaitwa NATIONAL UNIVERSITY OF TRANSPORT(NUT)

Hii ni baada ya Wachina  KUKIJENGA vizuri na kuwa MOJA YA CHUO BORA CHA usafirishaji barani Africa. IMG-20180524-WA0001.jpg

Read also-: