Chuo Kikuu Teofilo Kisanji(TEKU)-Nafasi za Masomo kwa Muhula Unaoanza April 2018
CHUO KIKUU TEOFILO KISANJI (TEKU)
“Mafunzo kwa Maisha Bora”
P.O.BOX 1104, Mbeya, Tanzania. Website:www.teku.ac.tz, Email: info@teku.ac.tz
Mobile No: Admission: +255 767 235 290, +255 767 090 188, +255 764 600 241
CERTIFICATE & DIPLOMA CALL FOR APPLICATIONS MARCH INTAKE 2018
Mkurugenzi wa Elimu Anuai, anawatangazia Wahitimu wote wa kidato cha NNE na SITA nafasi za masomo kwa ngazi ya Astashahada (Certificate) na Stashahada (Diploma) kwa mwaka wa masomo 2018/2019 Tunaomba Umma ujue kwamba Tume ya Vyuo vikuu (TCU) haikusitisha udahili wa Kozi za Certificate na Diploma. Kozi hizi zinaendelea kuendeshwa Chuoni TEKU Mbeya, TEKU Dar na TEKU Tabora.Kozi hizo za Certificate (Astashahada) na Diploma (Stashahada) ni kama zifuatazo:
- Law (Sheria)
- Human Resource Management (Usimamizi wa Rasilimali watu)
- Business Administration (Utawala wa Biashara)
- Community Development and Social Work ( Maendeleo ya Jamii)
- Information Technology (Tekinolojia ya Habari)
- Accounting and Finance (Uhasibu na Fedha)
- Procurement and Supply Management (Usimamizi wa Manunuzi na Ugavi)
- Journalism and Mass communication (Uandishi wa Habari na Mawasiliano kwaa Umma)
- Library, Records and Information Science (Ukutubi,Utunzaji wa Nyaraka na Sayansi ya Habari)
- Theology (Theolojia)
Kozi zote zinatambuliwa na baraza la taifa la elimu ya ufundi NACTE
SIFA ZA MUOMBAJI
CERTIFICATE (Astashahada)
Mwombaji awe amehitimu kidato cha Nne na awe amepata alama za ufaulu kuanzia “D” 4 na kuendelea.
DIPLOMA (Stashahada)
Muombaji awe
amehitimu Kidato cha sita na awe na ufaulu wa “Principal Pass” moja na
“Subsidiary”moja AU awe na Cheti cha msingi i.e ngazi ya nne
kinachofanana na kozi Anayoomba