PICHA 11 ZA CHRIS BROWN,ALIKIBA,NA VANESA MDEEE WALIVYOFANYA KENYA OCTOBER 8 2016
Historia ya burudani imeandikwa na Wakenya October 8, 2016 baada ya kupata burudani kali ya nguvu kutoka kwa msanii wa Marekani, Chris Brown kwenye tamasha liitwalo Mombasa Rocks Festival huku staa huyo alisindikizwa jukwaani na Wizkid wa Nigeria, Vanessa Mdee na Alikiba.
Hizi ni baadhi ya picha kutoka kwenye tamasha hilo…
.
.
.
.
.
.
.
.
.