JINSI YA KUTOA FRP LOCK AU GOOGLE ACCOUNT KWENYE TECNO PHANTOM
Leo tutajifunza jinsi ya kutoa frp lock au google account lock kwenye simu ya Tecno Phantom au simu aina ya Tecno.
Kama wewe unawasha simu yako na unapata maneno kama haya hapa chini basi utakuwa umekumbana na tatizo la frp lock This device was reset. To continue sign in with Google account that was previously synced on this device
JINSI YA KUTOA FRP LOCK AU GOOGLE ACCOUNT KWENYE TECNO PHANTOM NA SIMU ZINGINE AINA YA TECNO
Vigezo na Masharti
- 1: Hakikisha una simu nyingine ambayo utatumia kama Hotspot.
- 2: Hakikisha kwenye simu yako nyingine una Xender app na unajua jinsi ya kuitumia. Kama huna Xender unaweza kudownload kwa kutumia link chini
- 3: Hakikisha simu yako nyingine una mega app na unajua jinsi ya kuitumia. Kama hauna mega app unaweza download kupitia link chini
- 4: Uwe na email ya Google ambayo inafanya kazi
STEP 0
Washa hotspot kwenye simu yako nyingine Kisha washa Tecno Phantom yako ambayo ina frp lock. Usi connect kwanza na hotspot yako.. ishia kwenye screen inayo onekana hapo chiniSTEP 1
Bonyeza sehemu iliyo andikwa add another network Kisha andika maneno yeyote yenye herufi nne kama inavyo onekana kwenye picha chiniSTEP 2
Yashikilie hayo maneno manne uliyo andika kwa sekunde kama 4 kisha achia na utapata muonekano kama picha chiniSTEP 3
Bonyeza kipengele kinachosema assist kisha utaona Google search imefunguka. Kwenye Google search andika neno settings na utapata muonekano kama picha chiniSTEP 4
Bonyeza settings kisha utaona simu yako imefungua settings app. Hakikisha kipengele kinachosema unknown sources kipo on kama kwenye picha chini.STEP 5
Restart Simu yako kisha rudia tena kuanzia Step 1 hadi Step 3 Kisha andika neno Xender kwenye Google search na utapata muonekano kama picha chiniSTEP 6
Bonyeza Xender halafu hakikisha unabonyeza allow permission zote mpaka utakapo pata muonekano kama picha chiniSTEP 7
Bonyeza kipengele kilicho andikwa Allow Changing Settings. Baada ya hapo hakikisha una allow modify system settings kama inavyo onekana kwenye picha chini Kisha restart simu yakoSTEP 8
Chukua simu yako nyingine ile ambayo unaitumia kutoa hotspot Kisha download Quick Shortcut app kwa kutumia link chini Kisha download Google account manager kwa kutumia link chiniSTEP 9
Yatume hayo mafile mawili uliyo download kutoka kwenye simu nzima na kwenda kwenye simu yenye frp lock kwa kutumia Xender... Endapo utafanikiwa utapata muonekano kama picha chiniSTEP 10
Ifungue Google Account Manager kwa kubonyeza kimshale kinachoelekea chini na utapata muonekano kama picha chiniSTEP 11
Bonyeza kipengele cha kwanza kinachosema
Google Account Manager
Type email and password