Tangazo la kupotelewa vyeti: Paul Alfredy Mpiluka wa Iringa anatafuta vyeti vyake
QUOTATION KUTOKA KWA PAUL
Tangazo la kupotelewa na vyeti*
Ndugu zangu watanzania nawasalimu majina yangu ni #PaulAlfredyMpiluka mzaliwa wa Iringa vijini jimbo la Kalenga mnamo siku ya tar 04/05/2018 majira ya saa 03:34 usiku maeneo ya zakhem mbagala Dar es salaam nilipotelewa na begi ya mgongoni kwenye gari za #KisemvuleKivukoni #T577DCX begi hiyo ina vitu vifuatavyo
1. *Vyeti Original kuanzia darasa la saba mpaka Chuo kikuu*
2. *Laptop Hp proobok na adapter yake*
3. *Slot 2 za RAM*
4. *Funguo mbili za office*
NBWatanzania wenzangu naomba mnisaidie kwani vyote vilivyomo ndio maisha yangu gar ilipata hitilafu katika harakati za kujinusuru begi ilibaki ndani, hali iliporejea kuwa shwari sikupata tena begi yangu nisaidieni watanzania
*0752764700 0785314960*
*Nisaidie kufikisha ujumbe huu kwa watanzania wengine*
*Mungu Akubariki*![]()