Pigo: Wafanyakazi karibu 200 wa Vodacom walio chini ya ISON BPO wafukuzwa kazi kwa madai ya wizi
wafanyakazi waliokua
wameajiriwa ktk kitengo cha huduma kwa wateja vodacom chini ya ISON BPO wamefukuzwa kazi.
Kwa mujibu wa ndugu hao, kosa ambalo wamefukuzwa nalo ni wizi (fraud) na wameli adress km gross misconduct km inavyoonekana kwenye termination letter hapa chini
Kimsingi, habari zinaonesha kuwa walichokuwa wameiba hakikuwa restricted, na ilikua ni vifurush vya bure vya offers kwa wateja walivyokua wakitoa kwa ndugu, jamaa na marafiki zao. Wote walikua wamepewa access ya offers hizo na hawakua wamepewa restrictions ya kuzitumia. Ktk system kwa mujibu wa picha walizonitumia, ilionekana km ifuatavyo kwenye picha hapo chini.
Pamoja na wafanyakaz hao kujitetea, lakini kampuni ya ISON BPO iliamua kuwafukuza. Iliwapigia mahesabu kila mtu alicholeta hasara, kuna aliyeambiwa ameleta hasara ya 300m na wengine viwango vidogo vidogo hadi shilingi 1500 wote wamefukuzwa.
Kwa sasa wapo mitaani vijana hao na wamepanga ku appeal kwa madai kuwa wamefanyiwa unfair termination...
Kifurush ambacho kimewafukuza wengi ni cha 4g cha bure km kitakachoonekana kwenye picha nitakayotuma muda siyo mrefu.
Message waliyokuwa wakipokea wale waliounganishwa kifurush ni : Hongera!! Umewekewa GB4 BURE kutumia ndani ya siku 7. Furahia mtandao bora wenye kasi zaidi. Vodacom, kazi ni kwako.
Hivi kitu cha bure kinaweza kuhesabiwa km fraud?..
Ikumbukwe kuwa hiki kitengo cha Customer Care cha Vodacom kinasimamiwa na kampuni ya ISON BPO inayomilikiwa na wahindi.
Hii kampuni hulipwa kiasi kikubwa cha pesa na Vodacom (kama laki 8 kwa makadirio) kwa kila kichwa cha mfanyakazi wa call centre. Cha ajabu kampuni hii humlipa kila call centre ajent kiasi cha kama tsh 330,000 kwa mwezi.
Sasa inasemekana hii kampuni ya ISON ipo katika mkakati wa kuondoa waajiriwa wa full time na kuajiri wasio na full contract. Ambao tayari washaanza kuwaajiri na malipo yao ni arround 200,000 kwa mwezi.
Kwahiyo hii kampuni tayari imeanza kuwafukuza wafanyakazi wenye full time contract. Mbaya zaidi wafanyakazi hawa wanafukuzwa kwa kulazimishiwa au kubambikiwa makosa. Mfano, wanaweka target za performance za juu ambazo ni ngumu mtu kufikia na hizi zinawaexclude wale wenye part time contract. Ukishindwa kufikia target unaondoshwa bila kulipwa sitahiki zako.
Sasa wamekuja kuvunja rekodi mwezi May baada ya kuanza fukuza fukuza ya waajiriwa kwa kuwabambika kosa la fraud. Hii ilitokea baada ya IT wa vodacom kuacha wazi (full access) kwa kila mtu kuweza kuunga vifurushi vya bure (prepaid offer) kama ilivyoandikwa kwenye ile system. Baada ya kugundua kuwa watumishi hujiunga vifurushi vile vilivyoelezwa kuwa ni vya bure wakaaanza kuwaondosha bila kuwalipa sitahiki zao.
Ikumbukwe kuwa vile ni vya bure kuanzia kwenye system jina lilioandikwa mpaka kwenye msg inayokuja baada ya kujiunga. Hii ilipelekea Vodacom kusamehe maana lilikuwa kosa la IT wao kuviacha wazi bila restriction yoyote. As per procedures lile lilikuwa ni kosa la kupewa warning au kuelezwa kuwa kile kitu hakiruhusiwi.
Mpaka sasa zaidi ya wafanyakazi 100 wameondoshwa tayari huku fukuza fukuza ikiendelea mpaka sasa napoandika.
Wafanyakazi hawa wamejaribu kuappeal kupinga maamuzi ya hii kampuni lakini hizo barua za appeal zimepokelewa na kampuni imekataa kuleta mrejesho.
Source: Wafanyakazi kadhaa wa ISON BPO.