-->

KIDATO CHA SITA WANAOJIUNGA NA JKT KWA MUJIBU 2017

 francis mboya      09:45:00       

Wanafunzi wa kidato cha sita waliohitimu mwaka huu May 2017 takribani 14,747 sawa na asilimia 23.2%, wamepangiwa katika vituo mbalimbali vya Jeshi kati ya wahitimu 63,623, wanatakiwa kufika kambini kuanzia 25-30 May. 
Taarifa imetolewa na Mkuu wa JKT 
Akiongea na ITV amesema Orodha ya waliochaguliwa katika kambi mbalimbali yanapatikana katika tovuti yao ya JKT. www.jkt.go.tz

Source: ITV (Habari)

Ni hivi Majina yametoka na leo nlimsikia msemaji pale JKT akiongea Kwenye Habari ITV, na idadi ya wanafunzi waliochaguliwa imepungua sana ndo maana leo Mbunge wa Newala akauliza Swali kwa Waziri wa Ulinzi ni kwanini Idadi hiyo imeshuka sana?

Read also-: