-->

TCU WAMEWAHAKIKISHIA WANAFUNZI WANAOTAKA KUHAMA VYUO WANAWEZA KUHAMA NA KUPATA MKOPO PIA IMEELEZA KUHAMA CHUO AU KUHAMIA CHUO SIO JAMBO GUMU KAMA ILIVYOKUWA ZAMANI


tume ya Vyuo vikuu imewahakikishia wanachuo wanaotaka kuhama vyuo maombi yao yatapokelewa na wanauwezo wa kuhama course walizopangiwa na kwenda kwenye course wanazozitaka

Tcu pia imeeleza mkopo kwa wanaohama utatumwa kwenye Vyuo wanavyohamia

KWA TAARIFA KAMILI KUTOKA TCU

Read also-: