-->

NDALICHAKO AWAFUKUZA WALIMU WALIOMPIGA MWANAFUNZI VIBAYA MBEYA

Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi Profesa JOYCE NDALICHAKO Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi Profesa JOYCE NDALICHAKO amewafukuza chuo walimu wanafunzi WATATU kwa tuhuma za kumpiga mwanafunzi SEBASTIAN SINGULI . Profesa NDALICHAKO amesema kwa mujibu taratibu za vyuo vikuu kitendo kilichofanywa na wanafunzi hao ni kosa la jinai na hawawezi kuendelea na taaluma ya ualimu kwa sababu wamekosa sifa ya kuwa walimu. Aidha ameelezea kusikitishwa kwake pamoja kuchukizwa na kitendo hicho ambacho amesema si cha kawaida na hakiwezi kufumbiwa macho.

Read also-: