-->

video ya alikiba akiimba jukwaani kenya jana

Mwimbaji staa wa Tanzania Alikiba alikua kwenye list ya waliotumbuiza kwenye Tamasha la Mombasa Rocks Music Festival ambalo pia mgeni wake mkuu alikua Chris Brown na wengine wakiwa niVanessa Mdee, Wizkid na wengineo.
Itazame hii video hapa ujionee jinsi Alikiba alivyotumbuiza Mombasa Rocks Festival

ULIIKOSA HII YA VANESSA MDEE ALIVYOTUMBUIZA MOMBASA ROCKS FESTIVAL BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Read also-: