Vyuo vikuu bora dunianiani orodha yawekwa
vyuo vikuu bora duniani vyatangazwa katika orodha ya times higher education kutoka bbc
chuo kilichochukua nafasi ya kwanza ni chuo cha oxford chuo cha oxford kimesababisha chuo cha carlifornia instute of technology kurudi nyuma na kuchukua nafasi ya pili wakati miaka takribani mitano iliyopita kilikuwa cha kwanza
Kwa upande wa africa chuo kikuu cape town kimenyaku nafasi ya kwanza pia vyuo vingine vitano vya afrika kusini ambavyo ni chuo kikuu witwatersrand kimechukua nafasi ya pili,stellebosch nafasi ya tatu, chuo kikuu cha zulu-natal nafasi ya tano inadhihirisha ubora wa Vyuo vya nchini huko chuo mingine ni makerere kimechukua nafasi ya nne chuo hiki kipo nje ya afrika kusini hupatikana nchini uganda chuo kingine ni ghana kimechukua nafasi ya saba,chuo kikuu cha nairobi nafasi ya naneorodha ya times higher education inaangalia
Mafunzo
Utafiti na mtazamo wa kimataifa kwa mfano idadi ya wanafunzi wanaotoka nje
akizungumza nico cloete mkurugenzi wa taasisi ya higher education trust na mratibu wa utafiti wa elimu ya juu na advocacy network in africa anasema taasisi hizo nne. Katika orodha ya afrika chuo cha cape town,makerere,nairobi na ghana vyo hivyo vimedhinisha mipango ya kuwa vyuo vikuu vinavyoongoza kwa utafitinchini mwao na vimeshuhudia ongezeko kubwa kwa wanaofuzu kwa shahada ya uzamifu na kuunda taasisi katika miaka mitano iliyopita