-->

KIKAO CHA LOWASSA CHA ZUIWA BUKOBA

Waziri mkuu wa zamani Edward lowassa jeshi la polisi mkoani kagera limemzuia kikao ambacho kingemshirikisha Waziri mkuu wa zamani aliyefika mjini hapo kuwafariji watu walioathirika na tetemeko la ardhi uamuzi huo wa polisi umekuja wakati tayari amri ya kuondoa zuio la mikutano ya ndani imetangazwa juzi hivyo Polish kukiuka agizo hilo lowassa alikuwa katika ziara ya siku moja mkoani hapo jana kuwafariji waathirika wa tetemeko la ardhi lililotokea septemba 10 na kuua watu 17 na wengine 253 kujeruhiwa vibaya huku likibomoa nyumba zaidi ya 840 mbali na kufariji waathirika lowasa ambaye ni mjumbe wa kamati kuu ya chadema alipangiwa kukutana na viongozi wa chama hicho katika ngazi mbalimbali wilayani bukoba lakini jeshi la polisi lilimzuia licha juzi kutangaza limeondoa amri ya kuzuia mikutano ya ndani

Read also-: