JESHI LA POLICE TANZANIA LARUHUSU KUFANYIKA KWA MIKUTANO YA NDANI YA VYAMA VYA SIASA
jeshi la police Tanzania limeyasema hayo leo
akizungumza leo kamishina wa operesheni na mafunzo ya jeshi la police Nsato Marijani Mssanzya ametangaza kuruhusu mikutano ya ndani ya vyama vya siasa na pia amesema mikutano hiyo inatakiwa kufuata katiba pia amesema mikutano ya hadhara na maandamano ya kisiasa hayaruhusiwi bado pia ameeleza wabunge wanaruhusiwa kufanya mikutano kwenye majimbo yao na mikutano hiyo inatakiwa kufuata katiba alieleza jeshi la polisi limeamua kufanya hivyo kutokana na hali ya kiusalama hapa nchini