Taarifa kwa waliokosa vyuo kwenye uchaguzi wa kwanza tcu wameshauriwa kuomba nafasi za Vyuo upya na kuangalia vizuri kitabu cha tcu na kukitumia hicho kitabu ili kuweza kuchagua Vyuo vilivyo wazi na Vyuo walivyokizi vigezo vyake wakiongozwa na kitabu cha tcu
Pia tcu imeeleza program iliyopewa kipaumbele sana pia huangaliwa
Kwa wanaomba nafasi upya na wanaotaka kuona selection result
bofya hapa kuona selection au kuomba nafasi upya
Au
Kwa wanaotaka kitabu cha tcubofya hapa kudownload tcu undergraduate guide book 2016/2017
Uncategorized