-->

TCU WAMETOA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA VYUO VYOTE ROUND YA TATU FUATA LINK UONE ULIPOCHAGULIWA


Francismboya.blogspot.com

Inakuletea application rahisi ya kuangalia provision result  kutoka TCU 

Ili kuweza kugungua au kujua umepangwa wapi katika uchaguzi wa Mara ya kwanza,pili na  tatu fuata maelekezo yafuatayo

Bonyeza kibox kilichoandikwa please choose option chagua labda form four index number/form six index number /phone number au email kitu ulichochagua
Kiandike kwenye box  wazi lililoandikwa student information
Kinachofuata bonyeza search student information  
Kama umechaguliwa litakuja jina lako na chuo ulichochaguliwa ila kama haujachaguliwa jina lako halitakuja
Angalizo index number ziandikwe pamoja na mwaka wa kumaliza mfano

S0108/00345/2013
Endelea kutembelea blog yetu 

Search Student Selection Result




* means MANDATORY Field




KAMA MAELEKEZO YA KWANZA YANASUMBUA

Read also-: