Amka mtanzania
Watanzania tumekuwa ni watu wa kulalamika hata tukipata kiongozi anayetuongoza vyema mfano mh raisi wa Tanzania awamu ya tano ameonesha hali nzuri na maono mazuri ya kuwataka watanzania kufanya kazi ili waweze kujitoa kwenye hali ngumu ya maisha lakini baadhi ya watanzania hao hao wameshindwa kutambua umuhimu wa kufanya kazi na baadhi ya watanzania kutaka kuandamana wakidai kuhimizwa kufanya kazi ni udikteta bila kujua ni njia moja wapo ya kujitoa kwenye hali yao mbaya
Siku zote Luna baadhi ya vitu ambavyo kama wananchi mlikubàliana kufanya kazi kwa moyo kwenye kila sekta lazima mtekeleze na msipotekeleza lazima adhabu ifuate hivyo naamuunga mh raising kwa kutumbua wafanyakazi wabovu na aendelee hivyo hivyo na watanzania tuangalie tunapoenda ni pazuri hapa kazi tu