BREAKING NEWS: MZEE MAJUTO AFARIKI DUNIA MUHIMBILI
8
Mchekeshaji mzee Majuto leo ameripotiwa kufariki dunia baada ya kuugua muda mrefu, mzee Majuto baada ya kurejea Dar es Salaam alikuwa akitibiwa katika hospitali ya taifa ya Muhimbili, mzee Majuto amefariki leo saa 2:00 usiku huu.
UFAFANUZI: Gumzo la kampuni ya Vijana Watanzania iliyoanzia Whatsapp