New
Jana jioni Mwanzafunzi wa Chuo Kikuu cha KCMC James
Keffa alizama baharini eneo karibu na Sea Side. Hadi sasa hajapatikana.
Juhudi za Kumtafuta bado zinaendelea.
Dkt. JUMA MFANGA
C&p
Inasemekana alikuwa anaogelea eneo hilo la sea side (jina la hotel)
