MHADHIRI WA CHUO KIKUU UDOM AUAWA KWA KUCHOMWA KISU
TANGAZA BIASHARA,HABARI,KAZI,MATUKIO YAKO KUPITIA MALUNDE 1 BLOG,TUPIGIE SIMU 0757 478 553 AU 0625 918 527
Mhadhiri wa Chuo cha Biashara katika
Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) Rose Mdenye ameuawa kwa madai ya kuchomwa
kisu na mumewe usiku wa kuamkia leo Mei 26,2018 kwa wivu wa mapenzi.
Akizungumza na Mwananchi Digital leo
asubuhi, Ofisa Uhusiano wa Chuo hicho, Beatriece Mtenga amethibitisha
kutokea kwa tukio hilo na kwamba taarifa zaidi zitatolewa baadaye.
Mtenga amesema msiba upo Kisasa Sheli.