-->

Jumuiya ya wanafunzi wa chuo cha afya na sayansi shirikishi muhimbili kina sikitika kutangaza kifo cha mwanafunzi wa mwaka wa tatu ndugu MARCUS EDWARD KAHITWA wa kozi ya famasia kilichotokea gafla..mazishi na taratibu zingine zitatangazwa


 


Read also-: