JINSI YA KUJUA KAMA SIMU/LINE YAKO INATUMIKA/INAONWA NA MTU MWINGINE NA JINSI YA KUZUIA
*JINSI YA KUJUA KAMA SIMU/LINE YAKO INATUMIKA/INAONWA NA MTU MWINGINE*
Habari wakuu, kama unahitaji kujua kama line yako inatumiwa na mtu mwingine au hakuna usiri kwenye line yako fanya hayo hapo chini ili uendelee kua salama.
piga namba *#61# angalia kama imeandikwa neno FORWARDED uje kuna mtu anasikiliza mazungumzo/sms zako. Na kama ikionyesha neno NOT FORWARDED basi uko salama.
Kuondoa au kumzuia mtu asiendelee kutumia namba yako piga ##21# ili kuondoa *monitoring device* kwenye namba yako.