Kakobe akana kukwepa kodi,asema taarifa za TRA ni za Kisiasa
Askofu
Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Bible Followship (FGBF), Zachary Kakobe
amekanusha taarifa za Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwamba kanisa
lake linakwepa kodi.
Akizungumza
leo Jumapili Februari 25, 2015 katika kanisa hilo lililopo Mwenge,
jijini Dar es Salaam Kakobe amewataka waumini wa kanisa hilo kuzikataa
taarifa hizo na kwamba zimejaa siasa,ni za kishilawadu