-->

tetesi matokeo ya udahili katika vyuo vikuu mbalimbali 2017/2018 hayatoki tarehe 2 wala 3

p:post hii ina lengo la kuwajulisha wale wote waosubiri selection za vyuo vikuu kuwa tayari TCU wamesha hakiki na kuthibitisha majina ya waliochaguliwa(Selected applicants) na mpaka kufikia tarehe 30/09/2017 tayari TCU ilikuwa imeishazi-feedback HLI(s) na zoezi linalosubiriwa ni HIL(s) ku-announce wale confirmed selected applicants lakini vyuo vyote vilipewa taarifa zilizochelewa na TCU siku ya tarehe 30/09/2017 kuwa chuo kinaruhusiwa kutangaza majina mara tu baada ya kuandaa online dashboad ambayo waombaji waliochaguliwa vyuo zaidi ya 1 wanaweza ku-confirm chuo husika
Kwa hiyo wakuu kuweni na uvumilivu maana kosa si la vyuo ila vyuo vimechelewa kupata taarifa hizo za ku-creat online dashboard na kama ujuavyo haya mambo ya mtandao yanahitaji muda ila yaweze kuwa na ufanisi.
Mchana nimetoa taarifa kwa ufupi kwamba hayatoki watu wakatukana anyway njoo utukane tena ila ukweli utabaki palepale na usitarajie leo hata kesho...

source
jamiiforums

posted by jamiiforums member  huyo hapo chini amethibitisha kuwa  amewasiliana na tcu officer

Benjamin Bearling Jr

  Benjamin Bearling Jr Member

Read also-: