-->

TANGAZO LA KAZI KUTOKA KWENYE LABEL

TANGAZO JIPYA LA KAZI MASWAYETU BLOG

Paun Jotia katika MASWAYETU BLOG - Saa 10 zilizopita
Habari zenu, Maswayetu blog inatafuta vijana *10* ambao watafanya kazi na blog hii kwa kupost habari mbalimbali kila zinapotokea na kushare sehemu mbalimbali. *sifa za mwombaji;* *uwe na computer/laptop,highyl modified smartphone* *internet acces ,* *uwe mjanja(mwepesi kuelewa)* *idadi:wavulana (3)* * wasichana(7)* *Jinsi ya kuomba:* *Tuma CV yako kwenda email ifuatayo>>> * *saetk20@gmail.com * *NOTE:watu wachache watakaokidhi vigezo ndio watakaojulishwa,ukiona kimya jua haujafanikiwa. * *DEADLINE:FEB 1 2017* *IMETOLEWA NA UONGOZI WA MASWAYETU BLOG *

Read also-: