VIDEO YA SEMI TRAILER LIKITEKETEA KWA MOTO DODOMA LEO Gari aina ya Scania limeteketea kwa moto mjini Dodoma Jumamosi, Oct 9, maeneo ya Kisasa Sheli kwa Malanga. Haikuweza kufahamika mara moja chanzo cha moto huo. Hakuna majeruhi walioripotiwa. Read also-: