-->

PICHA 17 MAANDALIZI YA JUKWAA LA CHRIS BROWN NCHINI KENYA

HA 17: Kutoka Mombasa….Maandalizi ya jukwaa la mkali Chris Brown

on
Ni October 8, 2016 ambapo mashabiki wa muziki na wadau mbalimbali Mombasa nchini Kenya wanatarajia kupata burudani ya nguvu kutoka kwa msanii wa marekani, Chris Brown huku mkali huyo akisindikizwa na Wizkid, Alikiba, Navio, Vanessa Mdee na wengineo.
Sasa basi millardayo.com & Ayo TVimekusogezea hizi picha 17 kutoka kwenye maandalizi ya jukwaa  ambalo wakali hao watahakikisha wanatoa kile walichokiandaa kwa mashabiki zao.

.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
Unaweza ukabonyeza play kujionea maandalizi ya jukwaa la mkali Chris Brown Mombasa yakifanyika katika uwanja wa Golf Club Mombasa

Related Article

TUPIA COMMENTS

Read also-: