MWALIMU MKUU SHULE YA MSINGI UMOJA KULIPA. FAINI SH 1.6 MILIONI
mwalimu ya shule ya msingi umoja Daniel nying'ati ambaye aliomba rushwa ya shilingi 130000 atatumikia kifungu cha miaka mitatu na akimaliza atakwa kulipa faini ya sh milioni 1.6
akizungumza hakimu mfadhiwi wa mahakama ya wilaya gabriel kurwijila amesema ushahidi uliotolewa na upande wa mashtaka haukuacha shaka hivyo mahakama inamuhukumu mshtakiwa mshtakiwa kwenda jela miaka mitatu hakimu kurwijila amesema pia baada ya kumaliza kifungo atalipa shilingi 1.6 milion na kutaka adhabu hiyo iwe fundisho kwake na wengine wenye tabia kama hiyo
Kabla ya kusomewa hukumu mshtakiwa alipewa nafasi ya kujitetea ili apunguziwe adhabu mshtakiwa alitumia nafasi hiyo kusema ana familia inayomtegemea hivyo anaomba kupunguziwa adhabu