MAJINA YA WALIOFARIKI KWENYE AJALI MBAYA KATI YA GARI LA SUPER SHEM NA HIACE MWANZA MUNGU AZILAZE ROHO ZAO MAHALI PEMA PEPONI
haya hapa majina ya watanzania waliofariki katika ajali ya bus la super shemu lenye usajili T 874CWE na hiace yenye usajili T 368CWQ
KATIKA AJALI HIYO MFANYA BIASHARA MDOGO ANAYEJULIKANA KWA JINA LA PETER TOBARI ANAYEJULIKANA KAMA MACHINGA AMEOKOA MAISHA YA ABIRIA ZAIDI YA 30 IKIWEMO DEREVA WA BUS LA SUPER SHEM
AJALI HII IMETOKEA SIKU MBILI BAADA YA ILE ILIYOTOKEA NJOMBE AMBAYO ILIHUSISHA BUS LENYE NUMBER T 429DEU AMBAPO WATU KUMI WALIFARIKI DUNIA NA WATU 28 WAKIJERUHIWA VIBAYA
KWA AJALI ILIYOTOKEA MWANZA MITA 200 KUTOKA KITUO KIDOGO CHA MABASI CHA HUNGUMALWA
IMEELEZWA DEREVA WA HIACE ALINGIA BARABARA KUU YA SHINYANGA BILA KUCHUKUA TAHADHARI NA KUSABABISHA KUTOKEA KWA AJALI HIYO HIACE ILIGONGANA USO KWA USO NA BUS HILO
KAMANDA WA POLICE MKOA WA MWANZA AHMEDI MSANGI AMETANGAZA BAADA YA AJALI HIYO WALIKUFA WATU KUMI NA WENGINE KUJERUHIWA
MAJINA YA WALIOFARIKI DUNIA
MONICA SHIJA,CHRISTINA CONSTINE,THERESIA MAJENGA,LWIZI KOPE,MABJLA MANGI,ISAYA DEOGRATIUS,MOSES KAMEL,GEORGE NDILA
WENGINE NI KONDAKTA WA HIACE ANAYEFAHAMIKA KWA JINA MOJA LA PONI
NA KUNA MTU MMOJA MWANAUME ,MAMA MMOJA NA MTOTO BADO HAWAJAFAHAMIKA
Mungu Azilaze roho za waliofariki katika ajali hiyo mahali pema peponi