-->

MAHAKAMA YA KATIBA GABON IMETHIBITISHA KUWA ALI BONGO NDIYE MSHINDI WA UCHAGUZI WA RAIS NCHINI HUMO

mahakama ya katiba nchini gaboni imethibitisha kuwa Ali bongo ndiye mshindi wa uchaguzi wa uraisi uliofanyika August nchini humo raising bongo amepata 50,66% na mpinzani wake mwenyekiti wa zamani wa muungano wa afrika jean ping 47,24% kwa mujibu wa matokeo ya mwisho rasmi yalitolewa na mahakama ya katiba bongo alishinda na kura nyingi zaidi kutokana na kutokubatilisha kura zilizopigwa katika ngome ya kiongozi huyo haut-ogue hata hivyo kura katika viti 21 mjini libreville vimefutiliwa mbali kutokana na ombi la upande wa kampeni ya uraisi na ndio sababu kiongozi huyo amepata asilimia kubwa zaidi katika matokeo ya mwisho upinzani uliwasilisha malalamiko na kupinga matokeo ya awali ya uchaguzi na kuiomba mahakama iamrishe kuhesabiwa upya kura hizo katika eneo hilo la haut-ogue magharibi mwa gabon ambapo rais bongo ana wafuasi wengi baadhi ya wakazi walionekana kununua vyakula na kuweka akiba nyumbani raia mmoja ameiambia bbc "nadhani kuna wasiwasi watu wanataka kuwa salama wanataka kununua vitu na kusubiria matokeo kwa umakini wakiwa nyumbani iwapo kila kitu kitakwenda sawa itakuwa vizuri Maduka mengi yameamua kufunga biashara kukwepa uporaji mapema mwezi huu biashara ziliathirika

Read also-: