-->

BODI YA MKOPO KUGOMA KUONGEZA MUDA WA KUOMBA MKOPO BAADA YA TCU KUSHUSHA VIWANGO VYA UDAHILI

bodi ya mkopo ya wanafunzi wa elimu ya juu (heslb) imesema haiwezi kutoa mikopo kwa waombaji wapya walioomba baada ya tume ya vyuo vikuu (tcu) kushusha viwango vya udahili wiki moja iliyopita tcu ilitangaza kushusha viwango vya udahili bila kueleza sababu za kufanya hivyo akizungumza mkurugenzi msaidizi wa habari,elimu na mawasiliano wa heslb cosmas mwaisobwa amesema tume hiyo haiwezi kuongeza muda kwa wanafunzi wapya kwa ajili ya kuomba mkopo kutokana na mchakato huo kufungwa amesema tofauti na time ya Vyuo vikuu ambayo inaweza kufungua udahili na kutoa majina ya wale waliopata nafasi ndani ya siku tatu heslb yenyewe huhitaji kufuatilia taarifa za waombaji kwa muda mrefu na kutoa matokeo kuhusu marejesho ya mikopo kwa wahitimu wa elimu ya juu waliokopeshwa mwaisoba amesema idadi kubwa wamejitokeza kulipa kwa wingi madeni yao pia amesema watakao kaidi kulipa watambue sheria zitawabana ikiwa ni pamoja na vifungo na penati

Read also-: