MWONGOZO JINSI YA KUOMBA MKOPO WA ELIMU YA JUU 2018/2019
Mikopo ya elimu ya juu na changamoto zake

Kama kichwa cha habari kinavyosema
Kutokana na kufanya application kadhaa na uzoefu nilio nao katika kufanya application Mimi pamoja na wadau wengine wa elimu wanao fahamu mienendo ya kufanya application za mikopo elimu ya juu ningependa / tungependa kusaidiana katika hili.
Mimi kama mmoja wa wadau wa elimu ningependa kutoa mda/kipindi hiki kwa wadau wote wanao hitaji kufanya application za mikopo kwa elimu ya juu kwa mwaka wa masomo 2018/2019
Kutokana na kuwepo kwa changamoto nyingi katika kufanya application mimi kama mdau wa elimu ningependa kushirikiana na wadau wa elimu wenzangu katika kutatua changamoto hizi za hapa na pale
hivyo ukiwa kama ni MTU unae tarajia au unafanya application kwa wakati huu na umekumbana na changamoto zozote usisite kuuliza swali lolote kuhusu kufanya application application na vipengele vyote vinavyohusu application za mkopo elimu ya juu
wasiliana nasi kwa namba 0754576387 kwa ushauri endelea kutembelea blog yetu kupata apdate pia kama wewe ni mhitimu wa kidato cha sita unaweza kuadd namba hii kwenye group lako la shule whatsapp tutawafikishia taarifa kila zinapotufikia
1.Mwongozo wa usajili wa awali(i) ingia kwenye tovuti hii http://www.olas.go.tzanza kujisajili kama malekezo yanavoonekana hapa kwenye picha
(ii) baada ya hapo kama ulifanya mtihani wa necta chagua upande ulioandikwa necta kama haukufanya mtihani wa necta chagua upande wa pili wa non necta examination
(iii) jaza taarifa utakazopaswa kutoa ili uendelee na kipengele kinachofuatanote that wakati unaweka password hakiksha password zako ziwe na herufi kubwa na ndogo pamoja na namba na idadi ya characters kwenye password iwe ni 6 au zaidi
(iv) submit taarifa zako utapata ujumbe unaokuonesha umefanikiwa kufanya usajili wa awali
(v)login kwenye account yako upya
(vi)soma maelekezo baada ya hapo bofya sehemu imeandikwa my application
(VII) anza step ya kwanza hakikisha unalipa pesa kuendana na njia uliyochagua kulipia kumbuka kila mtu anayo control number yake ambayo ni unique haifanani na mwingine hiyo ndiyo atakayotumia kama reference number hakikisha hukopi control number ya mtu mwingine.baada ya kulipa mfumo utakuruhusu kuendelea na step zinazofuata

kumbuka pia unaweza kulipa kwa CRDB na NMB maelekezo yake unaweza kuyasoma olas
2. JINSI YA KUPLOAD PASSPORT OLAS NA MAELEKEZO MENGINEPlease follow the example below of how a Passport size photo should look like (dimension 150X160 ) kama kifaa unachotumia kufanya application ni computer tumia progrmme inayoitwa paint itakusaidia kukamilisha hili (i) fungua picha yako kwa kutumia paint na baada ya picha kufunguka bofya sehemu imeandikwa resize
(ii) baada ya kubofya resize utapata matokeo haya tafadhali chagua pixels baada ya hapo ondoa tiki kwenye kabox kalikoandikwa maintain aspect ratio
(iii) kwenye box lililoandikwa horizontal wanamaanisha width ya picha tafadali weka 150 kwenye box lililoandikwa verticla linamaanisha height tafadhali weka 160 baada ya hapo bofya ok save picha yako itakuwa tayari kwenye png format na tayari unaweza kupload olas
kwa wanaotumia android phone wanaweza kudownload photo resizer zinapatikana play store hivyo zitawasaidia kukamilisha hili
2.Waombaji ambao wazazi wao wamefariki wanashauriwa kuwasilisha vyeti vya vifo kwa ajili ya kuvihakiki kwa Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini(RITA).
3. Waombaji wanapaswa kuhakiki taarifa zao kabla ya kuprint form kama zipo sahihi kumbuka mwombaji akishaprint form hataweza kubadili tena taarifa zake
4. Waombaji na wadhamini wao wanakumbushwa kuweka sahihi kwenye ukurasa wa 2 na 5.
5. Waombaji wanakumbushwa kuweka sahihi na mihuri ya Serikali za Mitaa na Kamishna wa Kiapo au Wakili).
6.Waombaji wanatakiwa kupakia viambatanisho vyote vya muhimu pamoja na kurasa ya 2 na 5
4. Waombaji na wadhamini wao wanakumbushwa kuweka sahihi kwenye ukurasa wa 2 na 5.
5. Waombaji wanakumbushwa kuweka sahihi na mihuri ya Serikali za Mitaa na Kamishna wa Kiapo au Wakili).
6.Waombaji wanatakiwa kupakia viambatanisho vyote vya muhimu pamoja na kurasa ya 2 na 5
7. Waombaji wanashauriwa kutunza nakala moja ya maombi.
.
9.Waombaji wanatakiwa wazingatie siku ya ukomo wa maombi ambayo ni tarehe 15 Julai 2018.
form ilyopo tayari kwa ajili ya muombaji kuihakiki na kuiprint itaonekana kwa mtindo huu na mwombaji atachagua kipengele cha kuhakiki na kuprint kipo step number 10