PICHA KUMI KALI ZA WATU WAZITO BABA LA BABA WIKIEND FIESTA MTWARA WALIVYOKIMBIZA

Msimu wa FIESTA 2016 weekend hii ulidondokea Mtwara kwenye usiku wa Jumamosi kwenye uwanja wa Nangwanda Sijaona ambapo jadi ya kuendeleza burudani ilikamilishwa na wakali wa bongofleva akiwemo Mr. Blue, Young D, Young Killer, Juma Nature, Joh Makini, Lord Eyez, Snura, Dayna Nyange na wengine.

MR. Blue

Madee

Msami

Dayna Nyange

Lord Eyez

Harmonize

Joh Makini

Young D

Young Killer